Sexer JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 8,505 Reaction score 8,256 Jul 1, 2016 #1 nahitaji hiace dungu ya kununua, iwe manual, dizeli afu nzima kabisa. bajeti 15,000,000
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,731 Jul 1, 2016 #2 Weka no yako inbox kwangu kama uko siriaz ntakuchek na kukutumia picha kama uko siriaz!
R Rodgers mshabaha72207220 New Member Joined Jan 23, 2016 Posts 4 Reaction score 0 Jul 1, 2016 #3 Sexer said: nahitaji hiace dungu ya kununua, iwe manual, dizeli afu nzima kabisa. bajeti 15,000,000 Click to expand... Ninayo mkuu nicheki namba 0655061181
Sexer said: nahitaji hiace dungu ya kununua, iwe manual, dizeli afu nzima kabisa. bajeti 15,000,000 Click to expand... Ninayo mkuu nicheki namba 0655061181
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,916 Jul 2, 2016 #4 Hembu wekeni hapa tuichambue,msije kumpiga mwenzenu kwa kumuona mgeni wa Magari
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,249 Reaction score 2,156 Jul 6, 2016 #5 Wekeni picha tafadhali tuione
Mwanza sales Senior Member Joined Nov 17, 2015 Posts 193 Reaction score 87 Jul 6, 2016 #6 Papizo said: Wekeni picha tafadhali tuione Click to expand... Bei haizidi milioni 13 kwa hiace chagua unayotaka na kuna nyingine ipo hapa mwanza nataka million 8 tu Attachments IMG-20160704-WA0002.jpg 84.5 KB · Views: 48 IMG-20160703-WA0002.jpg 54.7 KB · Views: 50 InstagramCapture_4c99733f-5f09-4592-a748-75d61f099db4.jpg 56.6 KB · Views: 51 InstagramCapture_9b9c0980-cbcd-4fc3-b2cc-2a7400b1997b.jpg 42.8 KB · Views: 47
Papizo said: Wekeni picha tafadhali tuione Click to expand... Bei haizidi milioni 13 kwa hiace chagua unayotaka na kuna nyingine ipo hapa mwanza nataka million 8 tu
Mwanza sales Senior Member Joined Nov 17, 2015 Posts 193 Reaction score 87 Jul 6, 2016 #7 Mwanza sales said: Bei haizidi milioni 13 kwa hiace chagua unayotaka na kuna nyingine ipo hapa mwanza nataka million 8 tu Click to expand... Nimesahau kuweka namba yangu ya simu kwa atakae hitaji hiace zenye picha hapo juu 0742159555
Mwanza sales said: Bei haizidi milioni 13 kwa hiace chagua unayotaka na kuna nyingine ipo hapa mwanza nataka million 8 tu Click to expand... Nimesahau kuweka namba yangu ya simu kwa atakae hitaji hiace zenye picha hapo juu 0742159555