Nahitaji gari:
Aina: Toyota Voltz,
Rangi: Silver, Blue, Black ama nyingine yoyote ila sio nyeupe.
Bejeti yangu : Millioni Saba.
Iwe katika hali nzuri na iwe haidaiwi na TRA.
Kama unayo weka picha hapa na namba yako ya simu nikupigie tufanye biashara.