E estlyjonathan Member Joined May 26, 2016 Posts 84 Reaction score 122 Dec 11, 2017 #1 Habari zenu, natafuta gari ndogo aina ya Vitz au Duet namba B ela niliyokuwa nayo kuanzia Milioni 3 kwa ambaye analo ajitokeze na gari iwe kwenye hali nzuri.
Habari zenu, natafuta gari ndogo aina ya Vitz au Duet namba B ela niliyokuwa nayo kuanzia Milioni 3 kwa ambaye analo ajitokeze na gari iwe kwenye hali nzuri.
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,174 Dec 11, 2017 #2 watafute renyo, ovi au master of the game nina imani watakuwa msaada mkubwa kwako.