Kama unataka ya bei nzuri na recommend dell precision T5500 ni nzuri kwa hitaji lako, nyingi zinazouzwa zina ram 2gb na 4gb, hdd ni 1TB na nyingine mpaka 2TB, zina graphic card nzuri zenye kuhandle powerful video editing softwares, bei zake kila sehemu wanauza bei zao, kuna maduka wanauza 500k kwa cpu peke yake, bei nyinginezo ni 400k, 350k, 280k ila ni sehemu tofauti tofauti hzo, kwa msaada zaidi ni PM.