Gesti zipo nyingi kila kona, unaweza kukodi kwa mwezi bila tatizo, na wamam wakukupikia wapo mitaani, wanakupikia na kufunika kwa kawa ubwabwa wa samaki uliotiwa nazi na viungo vingine, ila uwajulishe jamaa zako wakukumbushe siku unayotakiwa uondoke.