franswamj Member Joined May 23, 2014 Posts 96 Reaction score 11 Aug 4, 2015 #1 Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina,
Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina,
M Mwihadisa JF-Expert Member Joined Dec 31, 2012 Posts 604 Reaction score 227 Aug 4, 2015 #2 franswamj said: Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina, Click to expand... Ungeweka namba yako hapa. Huko PM wengine hatutaki kufahamiana
franswamj said: Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina, Click to expand... Ungeweka namba yako hapa. Huko PM wengine hatutaki kufahamiana
englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,209 Aug 4, 2015 #3 franswamj said: Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina, Click to expand... Nafuu sana ndo nini? weka bei na no ya simu hayo ndo matangazo ya biashara.
franswamj said: Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina, Click to expand... Nafuu sana ndo nini? weka bei na no ya simu hayo ndo matangazo ya biashara.
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,320 Aug 4, 2015 #4 Yaani umespecialize kwenye kufix tv ukutani peke yake? Au na mengine mengi yanayohusu ufundi? Sababu kufix TV peke yake naona kama unajibana sana
Yaani umespecialize kwenye kufix tv ukutani peke yake? Au na mengine mengi yanayohusu ufundi? Sababu kufix TV peke yake naona kama unajibana sana
BABU KIDUDE JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,587 Reaction score 918 Aug 4, 2015 #5 Weka picha ya moja ya kazi zako ulizofanya basi tuone
S Sasha7 JF-Expert Member Joined Apr 19, 2014 Posts 233 Reaction score 56 Aug 5, 2015 #6 WeKa namba ya simu mkuu..pia onyesha ata sample moja ya kazi yako sio mbaya
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,343 Reaction score 33,487 Aug 5, 2015 #7 mi nnayo ya kichogo,kama inawezekana inbox
twatwatwa JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 2,066 Reaction score 421 Aug 5, 2015 #8 Kwa kompyuta au ?
I island JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 1,065 Reaction score 836 Aug 5, 2015 #9 Uko wapi ?
napenda JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 485 Reaction score 91 Aug 5, 2015 #10 Elungata said: mi nnayo ya kichogo,kama inawezekana inbox Click to expand... Hizi huwa tunakata kichongo au tunafungua na kukiweka pembeni, nitafute, uko wapi nije?
Elungata said: mi nnayo ya kichogo,kama inawezekana inbox Click to expand... Hizi huwa tunakata kichongo au tunafungua na kukiweka pembeni, nitafute, uko wapi nije?
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Aug 5, 2015 #11 twatwatwa said: Kwa kompyuta au ? Click to expand... Khaaaa jamani hii nchi kuna watu wanajua komedi!!!!
twatwatwa said: Kwa kompyuta au ? Click to expand... Khaaaa jamani hii nchi kuna watu wanajua komedi!!!!
Vitaimana JF-Expert Member Joined Nov 2, 2013 Posts 3,531 Reaction score 1,566 Aug 5, 2015 #12 island said: Uko wapi ? Click to expand... Unaelewaga kwa urahisi lugha gani? Kiyunani?
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Aug 5, 2015 #13 hahaha kazi kweli
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,931 Aug 5, 2015 #14 franswamj said: Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina, Click to expand... Tupe tofauti ya kisasa na kizamani. Sio kwamba TV za kisasa zimeandaliwa kuwa fixed kisasa? Je, ina maana hautumii drill?
franswamj said: Guys nafix tv ukutani kisasa na bei nafuu sana mwenye kuhitaji anipm, napatikana sinza makabulin au Palestina, Click to expand... Tupe tofauti ya kisasa na kizamani. Sio kwamba TV za kisasa zimeandaliwa kuwa fixed kisasa? Je, ina maana hautumii drill?
dovillenproperty JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 3,203 Reaction score 2,227 Aug 5, 2015 #15 Hahaaa hapa hamna fundi
twatwatwa JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 2,066 Reaction score 421 Aug 5, 2015 #16 dovillenproperty said: Hahaaa hapa hamna fundi Click to expand... Fundi ni Mzee WA magumashi
Raimundo JF-Expert Member Joined May 23, 2009 Posts 13,415 Reaction score 12,622 Aug 5, 2015 #17 Anatupiga fix huyu
Benny JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 3,275 Reaction score 5,414 Aug 5, 2015 #18 Nipo wilaya ya siha sanya juu huku kijiji cha naibili naomba ufike kesho saa mbili kamili ufix
raphaelpol JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 207 Reaction score 132 Aug 5, 2015 #19 Unafixije kisasa wakt kizamani zilikuwa hazifixiwi??
K Kichwa Ndio Mtu JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 3,079 Reaction score 1,719 Aug 6, 2015 #20 Umekosa kazi hivi hivi. Nina kazi ya kutaka fundi wa kunifungia tv lakini kwa kua hujaweka namba yako basi, pm sitaki.
Umekosa kazi hivi hivi. Nina kazi ya kutaka fundi wa kunifungia tv lakini kwa kua hujaweka namba yako basi, pm sitaki.