kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,052
- 7,057
Wanabodi,
DSE walitangaza nafas hiyo ya kazi na mwisho wa kutuma maombi ilikua ni 31 August, 2017. Mpaka sasa, takribani miezi 3 imepita naona kimya. Nimejitahidi kufuatilia kupitia website yao na blog zingine zinazotoa taarifa za ajira au interview lakini HAWAJAITA MTU KWENYE USAILI kwa nafasi hiyo.
Ndo kusema kwamba nao wameichikichia ama? Kama kuna mwenye taarifa tujuzane ndugu yangu analala macho wazi. Kila simu akipigiwa anafikiri inatoka DSE. Ametunza naui ya kwendea Dsm kwenye usaili kwa muda mrefu, anabanwa na shida lakini haitumii akitegemea labda ataitwa. Tuarifiane kuhusu hili ili apumue angalau.
Kilambimkwidu
Sorry, ni mimi. Haya, vp hapo....kesi si imeisha?Mwambie uchumi wa viwanda unaimarika kwanza hayo mambo ya DSE kwa sasa hatuna haraka nayo! kwa sasa tulitoa nafasi za watu wa TRA na baada ya wiki tatu baada ya deadline wakaitwa kwenye usaili na sasa wapo kazini!!
BTW kwanini unamsingizia ndugu yako?kwani ukisema ni wewe utakufa?
Waliita lini mkuu, walitumia njia media gan kuita watu?? Kumbuka ile ni taasisi na tangazo lilibandikwa wenye official websiteSorry waliita watu na tayari aliyeshinda ameanza
Waliita lini mkuu, walitumia njia media gan kuita watu?? Kumbuka ile ni taasisi na tangazo lilibandikwa wenye official website