ni hivi mkuu, tunaponunua kitu tunaangalia umuhimu wake. laptop ni muhimu lakini inapokuwa imezima kwa charge na hauna access ya umeme ina maana kwa wakai huo laptop haina umuhimu lakini ukiwa na power bank that means laptop itaendelea kuwa ya muhimu. Karibu sana