Umenena kitu adimu sana kwa wanaume wa leoKwa unavyotaka wewe, atawakubali wangapi sasa mkuu?? .
Vingine ni kuvila tu kwa macho na kukubali kua Rafiki yake basi .siku akiona vema kukutunuku atakutunuku, hakiona sio vema unatulia.
Hahha mdadakijani bana inaonekana mmeshatuchora kama walafi walafi tuUmenena kitu adimu sana kwa wanaume wa leo
SaanaHahha mdadakijani bana inaonekana mmeshatuchora kama walafi walafi tu
Ukiomba namba Mwambie hivi “naomba namba ili nikutongoze kama utanikataa naomba usinipe“,Simple msiandike upupu apa, ukiachilia hayo pole kwa kukataliwa.
ahahah nataka niamin??Saana
Ni kweli amini tuahahah nataka niamin??
duh!Sikupi namba maana ukinitongoza jibu ni hapana nina mume,wasalimie