Mh sasa, mwezi mmoja watagain cha maana kweli!!!
Karate
Kwanza ukitaka kujifunza wapeleke kwenye dojo.
Pili karate kuna kata ,ss mwezi unataka mwanzo awe fiti hatari..unajidanganya..unaanza basics
Mimi nimecheza mpaka kata ya 3 Hiean sandan lkn bado najiona mtupu
Kwa mwezi mwanao wajidanganya atakuwaanafunzwa stances,na basics ndio aingie kwenye kata
Yupo dogo mmoja yuko vr nichek hapa nikuunganishe nae0712525280
krav maga technics ambazo unaweza kujifunza ndani ya hizo wiki nne na ukawa fit jambo la msingi ni kuendelea kuzifanyia mazoezi ili kupata uzoefu zaidi.
Ni martial arts za kiizraeli.. Wapi ntapata mwalimu mzuri.hata Kwa hapa Dsmkrav maga technics ambazo unaweza kujifunza ndani ya hizo wiki nne na ukawa fit jambo la msingi ni kuendelea kuzifanyia mazoezi ili kupata uzoefu zaidi.
Hata kupiga misamba nako ni kugain piaMh sasa, mwezi mmoja watagain cha maana kweli!!!
Lakini usianze kuwafugisha midevu tu.Salaam,
Ninahitaji mtu anayejua karate vyema ili anifundishie vijana wangu aged 7 & 12.
Hii ni katika kuwaweka fiti ili mtu akiwazingua huko mashuleni ama popote waweze kujitetea vyema.
Self defense nimeona iwe muhimu sana kuwa installed kwa wanangu. Hivyo iwapo wewe ni mkufunzi mzuri, naomba tuwasiliane haraka iwezekanavyo.
Mahali: Dar (Kinondoni)
Muda: Nahitaji kwa kipindi hiki cha mwezi December, kwani wapo likizo (tutaona pia namna ya kuongeza muda)
Malipo: Taja bei na ni mara ngapi kwa week utafundisha.
Pa1.