Joke nzuri ila maneno ya mwisho aliyotamka huyo shehe siyajui maana yake.Hii imeniondolea 'full taste' ya joke. Tafadhali asitokee mwanaJF na kusema joke hii ina udini.Hakuna kitu kama hicho hapa. Only a pure joke without anti-faith undertones. Halafu neno dogo kwa mleta joke:Kitu kinachoitwa punctuation ni adui yako?