mfate42 JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 4,063 Reaction score 4,849 Nov 7, 2020 #1 Je, tiba Ni ipi mtoto anapochelewa kutambaa? Ana miezi Saba lakin hatak kutambaa, kabisa.yeye hupendelea kukaa tu. Naomba msaada wa tatizo hili kwa wajuvi wa mambo.
Je, tiba Ni ipi mtoto anapochelewa kutambaa? Ana miezi Saba lakin hatak kutambaa, kabisa.yeye hupendelea kukaa tu. Naomba msaada wa tatizo hili kwa wajuvi wa mambo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,688 Reaction score 197,339 Nov 8, 2020 #2 Wakati wake ukifika atatambaa tu. Cc: mahondaw