mSATA to SATA cable or converter inahitajika

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
8,142
Reaction score
17,621
Wakuu, nina files muhimu zipo kwenye mSATA (microSATA) harddrive kama inavyoonekana hapo chini. Hii ni SATA technology ila pin zake ni ndogo zaidi.

Nia yangu ni niiconnect hiyo SSD kwenye PC inayotumia SATA kwa kutumia converter (cable) ili niweze kuaccess hizo files. The sooner the better.

Sasa basi nahitaji msaada nielekezwe ni duka gani specifically hapa dar ninapoweza kupata connector au cable za kutoa mSATA kuwa SATA. Au mwenye nayo perhaps. Any useful information would be appreciated.

Nimeattach mfano wa picha za mSATA SSDs na converter zake. Shukrani.

Cc Chief-Mkwawa
 

Attachments

  • 1424685363173.jpg
    4 KB · Views: 89
  • 1424685818042.jpg
    5.2 KB · Views: 89
  • 1424685831945.jpg
    7 KB · Views: 60
  • 1424685842962.jpg
    8.1 KB · Views: 60
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…