Msaada wa haraka nahitaji vyombo vya usafiri vya kukodi

sir. Mwasongwe

Senior Member
Joined
May 30, 2015
Posts
106
Reaction score
76
Kwema humu. Mtu mwenyeuwezo wa kunitafutia magari 10-20 aina ya pick up double keebin. Either nissad hardboard, Navara , Fold Ranger , Hillux zenye kutumia diesel inawezekana kukodi hata kwa mienzi 3-6, Na V8, Prado anicheki kwa 0758978644 au anielekeze wapi naweza pata

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mi nafkiri ungeweka kila kitu sawa ili mtu akiingia kazini anajua anaenda kufanya nini mkuu.

Au unataka kila mtu aje akuulize malipo mnalipa vipi, dereva juu ya nani, zinatumika mjini au shamba, malipo yapoje n.k

Itasaidia kukusaidia na kusaidia wengine wakusaidie pia. Ahsante.
 
aina ya pick up double keebin, nissad hardboard, Navara , Fold Ranger , Hillux zenye kutumia diesel kwa 140,000/=Tsh kwa siku na inawezekana kukodi hata kwa mienzi 3-6, Na V8, Prado kwa 180,000/=Tsh per day.

Mafuta kwetu na malipo hayo service kwa mwenye garj

Kazi za site. Kibaha , Morogoro DSM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhitaji bado upo? Au ulisha fanikisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…