kalimanzilajuma JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 323 Reaction score 314 Sep 4, 2019 #1 Naombeni kwa mwenye uelewa anisaidie.nateseka sana kuna muda vinawasha sana. Nimeenda hospitali mara kadhaa ila bado sijapata nafuu.mnisaidie ndugu zangu.
Naombeni kwa mwenye uelewa anisaidie.nateseka sana kuna muda vinawasha sana. Nimeenda hospitali mara kadhaa ila bado sijapata nafuu.mnisaidie ndugu zangu.
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,196 Reaction score 34,502 Sep 4, 2019 #2 Spitali walikufanyia vipimo gani? Na ulitumia dawa gani?
alumn JF-Expert Member Joined Jul 15, 2018 Posts 2,369 Reaction score 3,178 Sep 4, 2019 #3 Pole sana. Nenda hospital kwa vipimo zaidi, usiende dispensary wala maabara
kalimanzilajuma JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 323 Reaction score 314 Sep 4, 2019 Thread starter #5 Nilipimwa choo kubwa ,ndogo na damu nikaambiwa ni ugonjwa wa ngozi nikaandikiwa dawa .nikatumia lakini sijafanikiwa .n
Nilipimwa choo kubwa ,ndogo na damu nikaambiwa ni ugonjwa wa ngozi nikaandikiwa dawa .nikatumia lakini sijafanikiwa .n
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,826 Reaction score 21,945 Sep 4, 2019 #6 jaribu kukutana na mtaalamu wa ngozi kbsa naamini utapata msaada. Pole sanaaa
kalimanzilajuma JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 323 Reaction score 314 Sep 4, 2019 Thread starter #7 Ndugu zangu mnisaidie ,nategemea sana ushauri wenu . Mkiona sijibu simu itakuwa imeisha chaji
kalimanzilajuma JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 323 Reaction score 314 Sep 4, 2019 Thread starter #8 Mlachake said: Pole Click to expand... Asante
kalimanzilajuma JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 323 Reaction score 314 Sep 4, 2019 Thread starter #9 reyzzap said: jaribu kukutana na mtaalamu wa ngozi kbsa naamini utapata msaada. Pole sanaaa Click to expand... Bado naendelea kukutana nao.
reyzzap said: jaribu kukutana na mtaalamu wa ngozi kbsa naamini utapata msaada. Pole sanaaa Click to expand... Bado naendelea kukutana nao.
kalimanzilajuma JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 323 Reaction score 314 Sep 4, 2019 Thread starter #10 alumn said: Pole sana. Nenda hospital kwa vipimo zaidi, usiende dispensary wala maabara Click to expand... Nitauzingatia ushauri wako
alumn said: Pole sana. Nenda hospital kwa vipimo zaidi, usiende dispensary wala maabara Click to expand... Nitauzingatia ushauri wako