hero de mmar
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 470
- 108
Weka namba boss nikutafute
Nauza HP presario cq50, INA specifications hizi ram 2gb, HDD 250 gb, speed 2ghz, 14" Inakaa na chaji dakika tano tu, kwa laki mbili tu. Kama unaihitaji niPMNatafut PC kwa lak mbili HP/dell 07839121
11
Ram 2,Hardisk 500,siliver,speed 2.1,chager una kaa masaa 5Uko wapi Eliezar Mlwafu?? Naomba specifications za laptop yako
Check specfcatns nlzotoa thn ukrdhka ni pmHabari zenu wakuu, natafuta laptop brand yoyote yenye sifa zinazoendana na soko la biashara. Walau iwe na sifa hizi screen ya 14 mpaka 17inch, ram 2 au 4gb, HDD 500gb, DVD ROM, internal speaker.
Dau langu 320k ila naweza kupanda kulingana na ntakavyovutiwa na bidhaa.
Nipo Arusha.
Laki tano si pesanahitaji laptop mpya nina laki tano