miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Asante mwaya nmeenda jana wamesema Sina Ila wamenipa tu amoxilin nimezeKapime Uti dear!mimi pia niko kama wewe ila nilikua napata dalili hizohizo!nikaenda hospital nikakuta uti!nimepata tiba sasa niko sawa hata sichechemei wala maumivu
Uti inasababisha Kujifungua mapema kabla ya siku zako!nenda hospital na sio zahanati
Asante ngoja leo akirud aninyoe nikae mkao wa kwenda kupush japo kiroho kipo juu juuHapo andaa kabisa begi la kujifungulia na fedha za nauli na emergency.
Pia kama hujanyoa vumba kule chini mwambie husband wako akunyoe utakate.
Muda si mrefu utaenda kutaga.
Pia kua makini, ukiona mtoto hachezi wahi sana hospitali.
Asante mkuu tuombeane tudalili za awali za uchungu. Pole sana utajifungua tu salama ondoa hofu
Ndo mara ya kwanza nkupe nondo??Asante ngoja leo akirud aninyoe nikae mkao wa kwenda kupush japo kiroho kipo juu juu
Asante ngoja tuwe wavumilivuSubiri ujifungue, utakuwa okay
Ndyo ndo mtoto wa kwanza yani hapa najiuliza uchungu na wakati wa kuzaa pale yani muda wa kupush kipi kinauma sana nakosa majibu ebu nipe nondoNdo mara ya kwanza nkupe nondo??
🤣🤣🤣 usiogope. Ntakueleza kutokana na experience ya kuzalisha wamama wengi. Mengi ya haya ni ya kibinadamu na maelezo ya wengi wao.Ndyo ndo mtoto wa kwanza yani hapa najiuliza uchungu na wakati wa kuzaa pale yani muda wa kupush kipi kinauma sana nakosa majibu ebu nipe nondo
Nashukuru sana kwa kunipa nondo kidogo nimepata ujuzi, kwahyo uchungu ukianza tu niwahi hospital au nisubiri Hadi uchanganye?usiogope. Ntakueleza kutokana na experience ya kuzalisha wamama wengi. Mengi ya haya ni ya kibinadamu na maelezo ya wengi wao.
1. Asikudanganye mtu, uchungu unauma na unauma kwelikweli. Jitahidi kufanya mazoez ya kutembea ili at least kutanua nyonga.
2. Siku uchungu ukifika, ujue utakushika almost masaa 8 au zaidi lakini unaanza kidogokidogo af unazidia mida unavokaribia
3. Jitahidi uende haja kubwa wakati uchungu bado haujashika sana. Hii ni kwa sababu asilimia 90 lazma ukate nyengo wakati wa kusukuma, so ukipunguza mbolea before muda wa kusukuma utapunguza maneno ya shombo kutoka kwa wauguzi hasa wa kike. Usijefika pale ukashusha mbolea heavy ukaharibu mazingira.
4. Personaly nashauri kuvumilia maumiv na kutopiga makelele ya kiwaki maana ukishamaliza utaanza kuona aibu bkoz kila mtu atakua anakushangaa ulivokua unalia lia kwa masauti. So gugumia if you can.
5. Muda wa kusukuma ukifika, hutaambiwa, we mwenyewe utaanza kusukuma, na hapo ndo utajua maana ya maumivu. Lakini jitahidi usukume bila kuacha acha ili usije ukambonyeza mtoto kichwa.
6. Najua ni ngumu, lakini jitahidi uwe mstaarabu hasa kwenye maelekezo utayopewa na wanaokuzalisha. Hua hatupendi mtu anaejifanya much know. Ukijifanya mjuaji sana utaishia kugombana na kutopewa huduma nzuri.
7. Ukipata bahati ya kuzalishwa na mwanaume utaenjoy maana sisi kwa kias kikubwa hua tuna huruma. Hata wanawake wako pia wenye roho nzuri af kuna wale wapashkuna.
8. Andaa nguo za kutosha. Usafi ni muhimu sana kila hatua ya hiyo siku.
9. Kila la kheri. Kuzaa ni jambo la baraka, ukishajifungua ukabeba mtoto/watoto wako ukaanza kunyonyesha, furaha yake ni kubwa sana na utasahau haya maumivu yote ulopitia.
10. Muombe Mungu sana ujifungue bila complication na mtoto asipate tatizo. Lishe ni muhim after kujifungua na hakikisha mtoto ananyonya maziwa yako kwa wingi.
11. Be humble. Ukishajifungua utakutana na watu ambao hawajajaaaliwa mtoto, usiwaoshee kana kwamba wewe ndo umehangaika saana au unajua saana kuzaa, kistaarabu tu. Unyenyekevu ni kitu muhim. Oh, pia sio kila mtu ahikeshike mwanao, kaa chonjo, watu wengine sio wema.
Bora uwahi. Japo unaeza subiri sana lakini u akua sehem salama. In case of anythng utapata huduma kwa haraka. Japo hospital nyingi siku hizi wanapenda kupiga kisu, lakini kama mtoto hana shida yoyote we ngojea tu Ujifungue kawaida.Nashukuru sana kwa kunipa nondo kidogo nimepata ujuzi, kwahyo uchungu ukianza tu niwahi hospital au nisubiri Hadi uchanganye?
Hivi hakunaga zile epidurals hapa bongo??hosp.gani wanaoffer?Bora uwahi. Japo unaeza subiri sana lakini u akua sehem salama. In case of anythng utapata huduma kwa haraka. Japo hospital nyingi siku hizi wanapenda kupiga kisu, lakini kama mtoto hana shida yoyote we ngojea tu Ujifungue kawaida.
Im not sure lakini nahisi zile hospitals kubwa kubwa za private wanaeza kua wanatoa epiduralsHivi hakunaga zile epidurals hapa bongo??hosp.gani wanaoffer?
ushauri mzuri kaka Mungu akubariki. naomba kuuliza je kuna namna mjamzito anaweza kuzuia asichanike pindi anapojifungua.🤣🤣🤣 usiogope. Ntakueleza kutokana na experience ya kuzalisha wamama wengi. Mengi ya haya ni ya kibinadamu na maelezo ya wengi wao.
1. Asikudanganye mtu, uchungu unauma na unauma kwelikweli. Jitahidi kufanya mazoez ya kutembea ili at least kutanua nyonga.
2. Siku uchungu ukifika, ujue utakushika almost masaa 8 au zaidi lakini unaanza kidogokidogo af unazidia mida unavokaribia
3. Jitahidi uende haja kubwa wakati uchungu bado haujashika sana. Hii ni kwa sababu asilimia 90 lazma ukate nyengo wakati wa kusukuma, so ukipunguza mbolea before muda wa kusukuma utapunguza maneno ya shombo kutoka kwa wauguzi hasa wa kike. Usijefika pale ukashusha mbolea heavy ukaharibu mazingira.
4. Personaly nashauri kuvumilia maumiv na kutopiga makelele ya kiwaki maana ukishamaliza utaanza kuona aibu bkoz kila mtu atakua anakushangaa ulivokua unalia lia kwa masauti. So gugumia if you can.
5. Muda wa kusukuma ukifika, hutaambiwa, we mwenyewe utaanza kusukuma, na hapo ndo utajua maana ya maumivu. Lakini jitahidi usukume bila kuacha acha ili usije ukambonyeza mtoto kichwa.
6. Najua ni ngumu, lakini jitahidi uwe mstaarabu hasa kwenye maelekezo utayopewa na wanaokuzalisha. Hua hatupendi mtu anaejifanya much know. Ukijifanya mjuaji sana utaishia kugombana na kutopewa huduma nzuri.
7. Ukipata bahati ya kuzalishwa na mwanaume utaenjoy maana sisi kwa kias kikubwa hua tuna huruma. Hata wanawake wako pia wenye roho nzuri af kuna wale wapashkuna.
8. Andaa nguo za kutosha. Usafi ni muhimu sana kila hatua ya hiyo siku.
9. Kila la kheri. Kuzaa ni jambo la baraka, ukishajifungua ukabeba mtoto/watoto wako ukaanza kunyonyesha, furaha yake ni kubwa sana na utasahau haya maumivu yote ulopitia.
10. Muombe Mungu sana ujifungue bila complication na mtoto asipate tatizo. Lishe ni muhim after kujifungua na hakikisha mtoto ananyonya maziwa yako kwa wingi.
11. Be humble. Ukishajifungua utakutana na watu ambao hawajajaaaliwa mtoto, usiwaoshee kana kwamba wewe ndo umehangaika saana au unajua saana kuzaa, kistaarabu tu. Unyenyekevu ni kitu muhim. Oh, pia sio kila mtu ahikeshike mwanao, kaa chonjo, watu wengine sio wema.
Amen.ushauri mzuri kaka Mungu akubariki. naomba kuuliza je kuna namna mjamzito anaweza kuzuia asichanike pindi anapojifungua.