Mara nyingi mimba ikiwa na miez sita na kuendelea maungio yanaanza kutanuka na pia pingili za uti wa mgongo sehem ya tumbo zinqpata mabaliko kwasababu ya uzito na ukubwa wa tumbo unaovutia tumbo kwa mbele so hili ndo linachangia pia katika hayo maumivu..
Ila ni vizur ukamuona Dr. Wako ili awezekuangalia kama hakuna shida yoyote nyingine.
Asante