Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,137
- 2,702
nashangaa asichoelewa ni nini 😁Mizimu ya kwenu imekataa nyama mkuu...
Nashukuru kwa ushauri mkuu, kuna mtaalamu mmoja ameniambia itakuwa ni shida ya sensitive teethTatizo ni fizi, badili dawa ya meno unayotumia, sukutua na maji ya vuguvugu yenye chumvi mara kwa mara.
Nashukuru, kwasasa nimeanza kutumia sensodyne nayo inatumika kama "teeth sensitive relief"Tafuta dawa inaitwa Colgate Sensitive Pro Relief. Tumia hiyo dawa kwa ajili ya kusafisha meno asubuhi na jioni. Tatizo lako litapungua kwa kiasi kikubwa