Craig JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 1,676 Reaction score 3,143 Jun 21, 2013 #1 Habari zenyu wanaJ.F. Mkewangu amejifungua miezi3 sasa naomba nijue nibaada ya muda gani naruhusiwa kukutana naye?
Habari zenyu wanaJ.F. Mkewangu amejifungua miezi3 sasa naomba nijue nibaada ya muda gani naruhusiwa kukutana naye?
M mataka JF-Expert Member Joined Feb 4, 2011 Posts 286 Reaction score 62 Jun 22, 2013 #2 Ruksa hata leo
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Jun 22, 2013 #3 Baada ya siku 40 unaweza kukutana nae ila inategemea na alivyojifungua kama hakukuwa na complications zozote!
Baada ya siku 40 unaweza kukutana nae ila inategemea na alivyojifungua kama hakukuwa na complications zozote!
B bdo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,810 Reaction score 2,431 Jun 22, 2013 #4 mmmh! mbona unachelewa miezi 2 unaanza onja kidogo kidogo!