mama grace
Member
- Jan 20, 2020
- 65
- 297
Mtoto wa kiumeUpo wapi
Mtoto wakike au wakiume
Walimpima hakuna shida nyingineJua ndio dawa nzuri zaidi.
Muweke juani, kile kijua cha asubuhi kisichoumiza, hazizidi siku 5 yataisha.
Lakini je hospital walikwambia ni manjano level ya ngapi?
Je wamethibitisha shida ni maziwa pekee, isijekuwa kuna jingine(mungu akuepushe.)
Nipo Dar.Upo wapi
Mtoto wakike au wakiume
Naomba kujua dalili za Ugonjwa wa Manjano tafadhaliNimejifungua mtoto maziwa yalichelewa kutoka mtoto alipata manjano. Nilimpeleka hospital wakamuweka kwenye machine ya kutoa njano. Ninamtoa asibuhi juani ila naona bado haiishi.
Nomba mnisaidie dawa ya njano hata kama niya kienyeji nataka iishe kabisa.
Walimpima hakuna shida nyingine
Homa ya manjano kwa watoto wachanga inaweza kutambuliwa kwa urahisi. Kawaida huanza ndani ya siku moja au mbili baada ya kuzaliwa na huongezeka baada ya siku 3 baada ya kuzaliwa. Njano ya ngozi kawaida huanza kutoka usoni na kisha huenea polepole kwa mwili wote.Naomba kujua dalili za Ugonjwa wa Manjano tafadhali
Nimejifungua mtoto maziwa yalichelewa kutoka mtoto alipata manjano. Nilimpeleka hospital wakamuweka kwenye machine ya kutoa njano. Ninamtoa asibuhi juani ila naona bado haiishi.