Ninasumbulilwa na korodani ya upande wakulia huwa inaniuma hata kwa kuishika najisikia maumivu
Nilipokuwa mdogo ilivimba nikapewa dawa za hospital ikarudi haliyake yakawaida
Mkuu pole sana. hilo tatzo hospital hadi livimbe kbs ndo unachomwa sindano au ikibana sana inabidi ifanyike operation ndogo. ushauri nenda kwenye maduka ya mbadala haswa (miti shamba) watakusaidia sana
Poleni kwa majukumu wakuu
Ninasumbulilwa na korodani ya upande wakulia huwa inaniuma hata kwa kuishika najisikia maumivu
Nilipokuwa mdogo ilivimba nikapewa dawa za hospital ikarudi haliyake yakawaida
MSAADA ANAYEJUA DAWA YA HILOTATIZO.