Ahsante sana NATA kwa pongezi zako.Napenda nikupe hongera kwa umahili wako wa kutuletea visa vya kweli vilivyo vuta hisia na kuleta msisimko katika jamii
Big up mkuu!
Kuna kisa kimoja kilivuta sana hisia za watu dunia nzima cha mwana mama mmoja aliye nyongwa TEXAS miaka ya 1998
Akiitwa
Karla Faye Tucker
Sijui ulisha kitoa? Kama bado nitashukuru sana kukisoma kutoka kwako maana unauwezo mkubwa wa kusimulia.
Mimi nakuona uko juu sana
Gustavo angeandika kitabu chenye mchanganyiko wa hivi visa vya kweli na akajipatia vijisenti
Mimi nitakuwa wa kwanza kumuungisha! Hiyo ya juzi imenifundisha vitu vingi sana ktk maisha yangu
Endelea kutupa za kila ijumaa
Ahsante sana NATA kwa pongezi zako.
Naamini kwa ushirikiano wenu nitajitahidi kuweka kumbukumbu za kesi zilizowahi kuvuta hisia za watu wengi, si za huko Ughaibuni tu bali pia hapa Africa.
Kusema kweli kesi hiyo ya Carla Faye Tucker nimeshaiandika kitambo kidogo, ipo kwenye maktaba yangu. Huyu mwanamke alihukumiwa kunyongwa kwa kesi ya mauaji na hatma yake ilikuwa mikononi mwa Aliyekuwa Rais wa Marekani George Bush mdogo wakati huo alikuwa ni Governor wa jimbo hilo la Texas, lakini alitia saini hukumu yake na mwanamke huyo akachomwa sindano ya sumu, inaitwa Potashiam Kloraid (Potassium Chloride)
Nitaiweka hiyo stori siku zijazo, kwani bado sijaihariri vizuri ili ivutie.......................
Usisahau kuandika kesi ya Zombe

Hahahaha! Umetisha.Usisahau kuandika kesi ya Zombe
Poa kabisa, nitafurahi kuisoma kutoka kwako
" | Yes sir, I would like to say to all of you - the Thornton family and Jerry Dean's family - that I am so sorry. I hope God will give you peace with this.(She looked at her husband) Baby, I love you. (She looked at Ronald Carlson) Ron, give Peggy a hug for me. (She looked at all present weeping and smiling) Everybody has been so good to me. I love all of you very much. I am going to be face to face with Jesus now. Warden Baggett, thank all of you so much. You have been so good to me. I love all of you very much. I will see you all when you get there. I will wait for you. | " |