Habari wana jamii forum.nawafikishia fursa ya nyumba kuuzwa kwa mnada wa adhara maeneo ya buza mtaa wa sigara dar es salam temeke,nyumba ya kawaida sana choo cha nje,vyumba upande mmoja vitatu,mwingine viwili ipo barabaran kabisa .sababu wanandoa wataka kugawa chao.karibun kwa mwenye uwezo kesho saa tatu.