BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Aug 25, 2017 #1 Habari, Wakuu wapi napata mkopo nikiwa na kadi ya gari tu?
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,194 Aug 25, 2017 #2 Kuna mtu katangaza whatsaap ngoja nicheki namba ake nikupe Dhamana ni gari
ndiyomkuusana JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 668 Reaction score 426 Aug 25, 2017 #3 BAGAH said: Habari, Wakuu wapi napata mkopo nikiwa na kadi ya gari tu? Click to expand... mkopo wa sh. ngapi?
BAGAH said: Habari, Wakuu wapi napata mkopo nikiwa na kadi ya gari tu? Click to expand... mkopo wa sh. ngapi?
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,437 Reaction score 35,963 Aug 25, 2017 #4 nakushauri jikaze sana kopa kwa ndugu jamaa na marafiki.. loan sharks wanalitamani gari lako hilo.... hawana nia ya kukusaidia... BAGAH said: Habari, Wakuu wapi napata mkopo nikiwa na kadi ya gari tu? Click to expand...
nakushauri jikaze sana kopa kwa ndugu jamaa na marafiki.. loan sharks wanalitamani gari lako hilo.... hawana nia ya kukusaidia... BAGAH said: Habari, Wakuu wapi napata mkopo nikiwa na kadi ya gari tu? Click to expand...
ndiyomkuusana JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 668 Reaction score 426 Aug 25, 2017 #5 ndiyomkuusana said: mkopo wa sh. ngapi? Click to expand... UNATAKA MKOPO WA SHILLINGI NGAPI?