Dada mmoja alikuwa anapekua majina ya mademu walioko katika phonebook ya simu ya boyfriend wake.Mara Agnes milonjo,Aisha kikwapa,Jack domo lepe,Mwajuma ndala ndefu.
Akacheka saana mpaka mchozi ukamtoka,basi akaamua ku-beep namba ya boyfriend wake ili aone yeye kaseviwa vipi.Alipobeep tu,simu ika display......IRENE KINUKA MDOMO!
miye nimemsevu demu wangu kama Nyonya Damu.
Nalog off
Hapana ni Sibongile.Mweeh!bongisa nini?