Wadau naomba kujuzwa, kuna hali ambayo sijaielewa vizuri kwamba kuna mdada ana ujauzito wa wiki ya nane inaenda sasa ila kila wakati labda kwa siku inaweza kumtokea kama mara 4 au 5 ni hali ya tumbo lake kuuma na kuacha, linaweza kuumwa ghafla kama dakika moja au mbili kisha linapoa, hii huweza kumtokea kwa siku kama mara 4 au 5.
Hii ni hali/ugonjwa gani tafadhali naomba kujuzwa