Mkuu kama kweli unauza hiyo gari, fanya research kwa mafundi na madalali wakupe bei inayoendana na soko la sasa. Unaweza kusema Gari imerogwa ndo maana hujaiuza kumbe bei yako ni unrealistic