Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini..
1. Majungu mliyo yapika sasa mtayapakua...
2. Nenda kaseme tena..
3. Gusa unate..
4. Flag ya chuma..
5. Masikini hafilisiki..
hata ukisogea huli
 
habari waheshimiwa.
nikiwa katika kaboxer kangu uwa nafurahi sana na kuwa na siku nzuri ninapokutana na vyombo vya usafiri vya aina zote kuanzia GUTA NK. uwa kuna maneno ya kutamba na mengine ya maonyo kwa baadhi ya maneno niliyakuta ni km vile.
1.CAPTAIN HAKAI BENCH.
2.BADO WANAULIZANA!!!!(HASA MAGUTA)
3.JOGOO HAFI KWA UTITILI.
4.SAMAHANI KWA USUMBUFU( KWENYE GUTA)
NA MENGINE MENGI KM VIPI TIPIA NA YAKO ULIYOYAONA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…