Tunachora ramani za kila aina ya majengo ya kisasa.
Tunaangalia ubora wa ardhi katika shughuli mbali mbali kama kilimo kwa kutumia (GIS).
Tunafundisha SPSS ambayo ni software inayotumika kufanya analysis ya research data, pia tunaandika proposal, kukusanya data na kufanya analysis kwa bei nafuu.
Softwares nyingine tunazofundisha ni AUTOCAD 2D, AUTOCAD CIVIL 3D, ARCHCAD, ARTLANTS, EPANET, PHOTOSHOP, MASTERSERIES, PROKON, MICROSOFT EXCEL, SEWERCAD, WATERCAD.
HUDUMA NYINGINEZO
Ukadialiaji wa ghalama za michoro
Kutembelea site
Kusimamia mchoro kwenye site
Tunapima maji kuangalia ubora wake
Tunaangalia upatikanaji wa waji eneo husika kwa kutumia software
Kwa maelezo Zaidi unaweza angalia Tangazo ambalo lipo aploaded