sorony makoba
Member
- May 16, 2014
- 10
- 0
Milango ya mninga inauzwa kwa bei poa,ipo single na double kwa mawasiliano piga.0783201037.
Kama vipi apigwe BAN tu maana hana faida zaidi ya kudhulumu dhulumu...:shetani::shetani::shetani::shetani::shetani:
wewe jamaa mimi nfanya biashara halali sina utapeli WA hali yoyote,nashkuru sana maana unaongea usicho kijua.Wewe jamaa kila leo unafungu thread mpya! Ukiambiwa weka bei, picha, mahali ulipo na size ya milango unakimbia. Wewe ni tapeli? Maana matapeli ndio hupendelea kupigiwa simu kwa sababu anakuwa hana details zingine zozote zaidi ya ujanja ujanja.
Jana nillimpigia akasema ataweka bei naina kimya.
Bei na picha ni muhimu