Miche bora kabisa ya miti inauzwa. Bustani iko Rondo- mkoani Lindi mkabala na ofisi za TFS.
Miti iliyopo ni :-
1. Tectona grandis (Mtiki- Misoji)
2. Eucalyptus grandis na Camaldulensis (Mkaritusi- Mlingoti)
3. Cedrella odorata (Mwerezi)
4. Khaya anthoteca (Mkangazi)
5. Pinus (Mipaina- Msindano)
6. Casuarina equisetifolia (Mvinje)
Bei inaanzia Tshs. 1700 mpk 1300 kutegemea na idadi unayohitaji (ukubwa wa order yako). Kwa walio kwenye mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi, Pwani, DSM na Morogoro unaweza kusafirishiwa miche mpk shambani kwako (kama panafikika kwa gari) kwa makubaliano maalum.
Kwa mawasiliano;- 0763 788000 (Whatsapp only), email:
teakrondo@gmail.com
Karibuni sana