Acha masihara umri wangu si wakuhemukahemuka bila utaratibu,hivyo vitu vinaniuma sana kiuno kikishika sisimami wala kutembea natambaa,mgongo siwezi kukaa kwa mda mrefu ofisini naunganisha viti nalala,nyonga ikiuma nachechemea mguu unakuwa kama unashika ganzi.