MGODI UNAUZWA SANGAWE-MERERANI

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
326
Reaction score
401
πŸ”₯ FURSA ADIMU YA UWEKEZAJI – MGODI UNAUZWA SANGAWE, MERERANI πŸ”₯
Unatafuta uwekezaji wenye faida kubwa? Hii hapa nafasi ya kipekee!
πŸ’Ž Maelezo ya Mgodi:
πŸ“ Eneo: Sangawe – Mererani, Manyara
βœ… Una leseni hai ya uchimbaji
⛏️ Umeshachimbwa hadi layer ya kwanza
πŸ’° Tayari umewahi kutoa mawe (uthibitisho wa uwepo wa madini)
πŸ“‰ Sababu ya kuuza:
Mmiliki anauza kutokana na changamoto za kiafya
πŸ’΅ Bei:
πŸ‘‰ TSh Bilioni 5 (nafasi ya maongezi ipo kwa mwekezaji serious)
πŸ“ž Wasiliana sasa:
0675 065 906
⚠️ Uwe mwekezaji makini na mwenye nia ya kweli tu ndio
upige simu !
 
Eneo la mgodi lina PL ama PML?
Eneo la mgodi lina ukubwa wa heka/kilomita ngapi za mraba?
Eneo la mgodi lilisha fanyiwa utafiti/exploration?
Eneo lililo chimbwa linakina cha mita ngapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…