i'm so sorry to say
lakini hasira za namna hii
niza ki pumbavu sana na za kitoto.
Chakufanya ...
Mwacha aendelee kutukana we
ishia zako .. Maana ukikaa hapo kumsikiliza
nawe utaonekana hauna akili. Mwache apige
porojo zake akichoka au akimaliza rudi muongee
kiutu uzima..
thanx dia,nimemwacha maana nimejaribu kumwelewesha the whole situation kua nilipitiwa na usingizi lakini hanielewi.
my dear
kuna watu wengine
wana feel insecure kwa sababu zao binafsi
mara nyingi hawataki kuzielezea.. Nakushauri sana
kuwa mwangalifu na hili maana ukimwachia
sana atakuwa paranoid .. Halafu hapo ndo
kasheshe mpauko mkitaka ku move forward.
Usi kubali mtu aku control kiasi hicho sababu
inaanzia hivi halafu inaishia kuwa makubwa zaidi ..
Pole sana..
i really dont know,and kusema ukweli i hav been very faithful to him cjawah kucheat na wala cna mpango huo.
thx dia maana am now feeling better as i had no one to talk to, the only thing which i did was crying.
Kwakweli,hata mi nimemshangaa sana leo the way he reacted,
I'm so sorry to say
lakini hasira za namna hii
niza Ki pumbavu sana na za Kitoto.
Chakufanya ...
Mwacha aendelee kutukana we
ishia zako .. maana ukikaa hapo kumsikiliza
nawe utaonekana hauna akili. mwache apige
porojo zake akichoka au akimaliza rudi muongee
kiutu uzima..
pole sana mpenzi
watu wengine ndo walivyo..
Akitulia embu kaa chini muongee
muulize ni nini kulikoni ?? Kuwa muwazi dear
mweleze kabisa hiyo tabia inakukera.. Ni vizuri
kuongea na mpenzio ukipendacho na ambacho hukipendi dear..
mtu kama huyu hata huko kuongea nae kiutu uzima sijui utaongea nae vipi, he has gone to far and blow the whole issue out of proportional, unajua hata kama una mtu wako halafu mkakoseana inabidi uangalie matamshi yako
Mtu kama huyu hata huko kuongea nae kiutu uzima sijui utaongea nae vipi, he has gone to far and blow the whole issue out of proportional, unajua hata kama una mtu wako halafu mkakoseana inabidi uangalie matamshi yako
ni kweli kabisa dear
lakini kabla hajawaza mbali sana
mie naona ni bora waongee kwanza
halafu akiona jamaa yuko hovyo
na hafai "ni type ya wale wanao abuse"
basi hapo ndio ningemshauri achukue hatua nyingine..
Lakini si vema kuchukua hatua kali
haraka na wakati jamaa alikuwa na hasira
za hapa na pale tu ambazo zinatokeaga
mara nhingi kwenye relationship..
ni kweli kabisa dear
lakini kabla hajawaza mbali sana
mie naona ni bora waongee kwanza
halafu akiona jamaa yuko hovyo
na hafai "Ni type ya wale wanao abuse"
basi hapo ndio ningemshauri achukue hatua nyingine..
lakini si vema kuchukua hatua kali
haraka na wakati jamaa alikuwa na hasira
za hapa na pale tu ambazo zinatokeaga
mara nhingi kwenye relationship..
Nimekupata vzr lakini unajua ku-deal na watu sampuli hii ni so difficult,sasa hebu niambie issue ndogo kama hii anashindwa kui - handle, likitokea kubwa zaidi ya hili si anaweza chinja mtu , hawa ndio walewale......