Wala sio gesi ni mchango wa kwangu alikuwa analia style hiyo doctor akasema atakapofikisha miezi mitatu atapunguza na akifikisha mwaka ataacha maana utosi utakuwa umefunga kuna mshipa unaokuwa haujakamilika kufunga ambao unasababisha tumbo kuuma na kweli ikatokea kama alivyosema.lkn hata baada yamwaka endelea kumpa dawa ya mchango hadi atakapofikisha miaka mitano especial wakati wa mawingu mchango ukiwa mkali husababisha degedege.dawa yenyewe ni shubiri iliyokaushwa inakuwa kama tanzanite hv.huwezi amini kitone kama mchanga tu unalowekwa kwenye kijiko kidogo cha maji anakunywa hapohapo anatulia nyingine ni ya kienyeji ya kupiga chafya ya kunusisha ulizia kwa wamasai au watu wazima.acha grip water dr.alisema ina madhara