Mbwa wa kizungu first class

mr_penguin

Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
31
Reaction score
23
Wale wenzangu na mimi mnaopenda maisha ya furaha na nyumbani kunakuwa na furaha kama bustani ya eden nauza mbwa wako fully trained kasoro kuwapa certificate basi.....
Black species nauza 400,000 & white species nauza 550,000 kama upo serious nichek 0716385824....kama utakuwa na muda unaweza kuja nyumbani kwangu kigamboni-kibada ushuhudie uumbaji....mbwa wana afya njema,wasafi na ni wastaarabu mno bila kusahau ucheshi karibuni watanzania.Hao kwenye picha ni baadhi nnao wengi mnoo ukipendezewa njoo nyumbani kiingilio bure.
 
All black should have cost more than the plain white ones..and those otherwise black but with a bunch of of white patches here and there should cost even more.
 
Mkuu mbwa mkali huwa anaenda beach?
Mbwa mkali anaoshi sebuleni?
Za kuambiwa changanya na zako!
Mkuu hawa mbwa ni wakali hizo za kwenda beach na kuka sebulen ni lifestyle zao hawa ndo walio mjeruhi kingunge
 
Kila kizuri ni cha wazungu?
Mbwa wa kizungu!!!?
Wa kiafrica yupoje?
Wazungu wazungu hadi viazi vinaitwa viazi ulaya wakati vinalimwa bongoland!!
Ngoja waje wanaoishi kizungu waje kununua mbwa wa kizungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi nilifikiri ni mbwa kweli kumbe ni paka wa kizungu. Mbwa kama huyu analinda nini kama si kubwaka tu kutwa kucha kuogopa ndege na paka?
 
Aww hako keupe kazurii ni kasichana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…