Namuunga mkono Kagasheki,kama kuna matatizo Wizara ya Utalii ingeshirikishwa kufikia muhafaka na hatua sahihi kuchuliwa. Kilichofanyika ni kuzikomoa hizi hoteli ktk kipindi hiki muhimu kibiashara.
Hii naifananisha na kwenye kampuni yetu flani inaendeshwa kisiasa km serikali ya JK, yaani mtu akiwa na maslahi yake anayatetea maslahi ya kwa kujifanya jambo flani likifanyika/lisipofanyika, kampuni itapata hasara hii na hii. Hapo kagasheki na wasi wasi kuna maslahi anatetea,
Mama Terezya hongera kwa kujali mazingira na afya ya viumbe waliopo tanzania, hayo wafanyao hao wawekezaji huko kwao hawathubutu hata kidogo kufanyaa, endelea hivyo hivyo na tutakupa majina ya wengine ili uwafungie. Mzee kagasheki kwenye hili umechemka waombe radhi watanzania, ni heri tuwakose hao watalii na fedha zao kuliko kuharibu mazingira ambayo yakiharibika hatutapata nafasi tena ya kuyarekebisha
Acha utoto' sababu alizosema ni "wachafu mazingira kwa kutiririsha maji machafu baharini" ungesema sio kweli ungeeleweka" acha u CCM wako!