D DANIEL MWITA Senior Member Joined Sep 16, 2012 Posts 118 Reaction score 42 Nov 13, 2014 #1 Msaada wadau hsptl nlienda nkapima nkaambiwa nina malaria na typhod nmetumia dawa lakini sioni mabadiliko
Msaada wadau hsptl nlienda nkapima nkaambiwa nina malaria na typhod nmetumia dawa lakini sioni mabadiliko
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,504 Reaction score 6,199 Nov 13, 2014 #2 Dalili za ukimwi hizo
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Nov 13, 2014 #3 Kigogo said: Dalili za ukimwi hizo Click to expand... Hahahaha..
K krenea JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 405 Reaction score 160 Nov 13, 2014 #4 Kigogo said: Dalili za ukimwi hizo[/QUOTE Ukimwi ni nini? Click to expand...
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Nov 13, 2014 #5 DANIEL MWITA said: Msaada wadau hsptl nlienda nkapima nkaambiwa nina malaria na typhod nmetumia dawa lakini sioni mabadiliko Click to expand... Sio tezi Dume kweli hio? Kwani na wewe hukunywa dawa za kuzuia tezi Dume kama nanihii????
DANIEL MWITA said: Msaada wadau hsptl nlienda nkapima nkaambiwa nina malaria na typhod nmetumia dawa lakini sioni mabadiliko Click to expand... Sio tezi Dume kweli hio? Kwani na wewe hukunywa dawa za kuzuia tezi Dume kama nanihii????
sifongo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,895 Reaction score 5,308 Nov 13, 2014 #6 Ooh my God.......nasoma hii post ni around sa tano usiku nacheka ni hatari......pole Mkuu kwa maumivu Ila majibu unayopewa ni hatari........hasa hili la Mkuu Elli limenifanya Nicheke balaa....kha!
Ooh my God.......nasoma hii post ni around sa tano usiku nacheka ni hatari......pole Mkuu kwa maumivu Ila majibu unayopewa ni hatari........hasa hili la Mkuu Elli limenifanya Nicheke balaa....kha!
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Nov 14, 2014 #7 DANIEL MWITA said: Msaada wadau hsptl nlienda nkapima nkaambiwa nina malaria na typhod nmetumia dawa lakini sioni mabadiliko Click to expand... Ukishindwa kupona nitafute mimi ninazo dawa ya kukutibu maradhi yako ukinitaka bonyeza hapa.Mawasiliano
DANIEL MWITA said: Msaada wadau hsptl nlienda nkapima nkaambiwa nina malaria na typhod nmetumia dawa lakini sioni mabadiliko Click to expand... Ukishindwa kupona nitafute mimi ninazo dawa ya kukutibu maradhi yako ukinitaka bonyeza hapa.Mawasiliano
U Undu JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 3,525 Reaction score 1,904 Nov 15, 2014 #8 Ni tatizo la nerves fika PCMC clinic karibu na Muhimbili uonane na madactari wa Neurology