Yanamtokea mara kwa mara na hutokea hasa siku za hatari-yai linapokua released from the Overy ndo yanapozidi na wakati maumivu hayo huchoma mithili ya vichomi na hali hii ilianza baada ya kuzaa
Yanamtokea mara kwa mara na hutokea hasa siku za hatari-yai linapokua released from the Overy ndo yanapozidi na wakati maumivu hayo huchoma mithili ya vichomi na hali hii ilianza baada ya kuzaa
Kabla ya kutafuna hiyo Habat Mulk inatakikana apasue katikati ya hiyo Habati mulk aondowe mzizi wake uliokuwa upo katikati kisha ndio anaweza kuila au kuchemshia pamoja na maziwa ya kuchemsha lakini ina harisha ile mbaya awe karibu na choo.@Elig
Muwahishe hospital/maabara hiyo ni maambukizo kwenye njia ya mkojo (kibofu) kitaalamu ni UTI. Kafanye kipimo cha mkojo (Urine analysis). Ukichelewa utaukwaa na wewe.