Ndugu zangu habari zenu, ninapata shida ambayo sijui ndo macho au kichwa...
Nikitembea ruti ndefu au nikifanya mazoezi ya kucheza mpira vile kukimbia kimbia, mazoezi
yakichanganya napata shida ya macho yaani macho yanakuwa kama mazito flani afu mishipa ya kichwa inauma sana,
Najua humu kuna wataalaam wa afya au waliopata shida kama yangu, ushauri au kwa wale watakao nielekeza hospital (Ambayo wanapokea Bima) inayotibu vizuri tatizo nilionalo
Karibuni.