Kwakukusaidia,Selcom imeunganishwa na bank zote tz ,kinachofanyika kwa sasa ni kua BOT wameunganishia system inaitwa TIPS hii miamala yote unayofanya lazima ipitie kwao.
Mfano Unatoa hela tigo pesa utaenda BOT then Selcom then unarejea kwa mtumiwaji so bank zote zipo zipo integrated from BOT.