Swenailie JF-Expert Member Joined Feb 15, 2016 Posts 240 Reaction score 230 Jul 25, 2016 #1 Jaman nipo mwanza nauliza mwenye kujua bei ya mashine ya kutengenezea juice hasa kwenye mgahawa
Babaanyi Senior Member Joined Aug 10, 2012 Posts 114 Reaction score 43 Jul 25, 2016 #2 Hujaeleweka. Unataka Juice dispenser au proccesing machine? Ukubwa gani nk. Weka wazi nikusaidie
Gan star JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 379 Reaction score 987 Jul 26, 2016 #3 Babaanyi said: Hujaeleweka. Unataka Juice dispenser au proccesing machine? Ukubwa gani nk. Weka wazi nikusaidie Click to expand... yap inawezekana ni mgeni mkuu so help him/her
Babaanyi said: Hujaeleweka. Unataka Juice dispenser au proccesing machine? Ukubwa gani nk. Weka wazi nikusaidie Click to expand... yap inawezekana ni mgeni mkuu so help him/her
K Kpdrone New Member Joined Oct 30, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Dec 13, 2016 #4 Babaanyi said: Hujaeleweka. Unataka Juice dispenser au proccesing machine? Ukubwa gani nk. Weka wazi nikusaidie Click to expand... Mimi nahitaji zote mbili na maelezo yakimsaada kuhusu biashara nzima ya juice. AHSANTE!
Babaanyi said: Hujaeleweka. Unataka Juice dispenser au proccesing machine? Ukubwa gani nk. Weka wazi nikusaidie Click to expand... Mimi nahitaji zote mbili na maelezo yakimsaada kuhusu biashara nzima ya juice. AHSANTE!