Nauza machine ya kupima ubovu wa magari,kinapima magari aina zote kinapatikana kibamba -Dar es salaam
BEI TSH:800,000
CONTACT :0784325299
0792325299
KARIBU
Ufafanuzi tafadhali. Hicho kifaa kinapima ubovu wa nini kwenye hayo magari? Bodi, injini, mfumo wa umeme, au kinatoa ubovu wa gari zima! Yaani hata kama balbu ya taa imeungua, kinaonesha!!