Mashine ya crips zinapatikana wapi

Kuna machine za ndiz zinapatikana kkoo, pia zipo za viaz hiz ukipata local made ndio nzuri zaid, local hutengenezwa kwa oder tsh 40000 kwa moja, ila za ndiz zipo kkoo tsh 12_15000
 
Wadau naomba kujua bei ya machine na znapatikana wap


Tafadhali kwa anayeuza au kujua zinapatikana wapi hizi mashine atujuze. Napenda zile ambazo zipo Tanzania tayari na si kuagiza nje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…