mashamba yanauzwa wilaya temeke.

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,301
Natumaini mu wazima wa afya..kichwa cha habari knajieleza...nauza mashamba nnazo ekari 10 nauza milioni tano kwa kila ekari yapo kimbiji km 8 kutoka baharini yapo karibu na hekalu la mwarabu wa lake oil..ukitaka kupimiwa tunapima kwa garama zako na tunakukabidhi hati...mnakaribishwa nyoote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…