Mashamba yanapatikana

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
94,000
Reaction score
132,376
mashamba yanapatikana rufiji-ikwiriri.kwa wenye ndoto ya kumiliki mashamba ekari kubwa hata ekari 50 na kuendelea wani pm.mashamba hayo yanafaa kwa kilimo udongo wake una rutuba, mnaweza ita virgine soil.nimeona nisiwe mchoyo kuwambia wana jf kwa wanayotaka..muwahi maana wasije wenye hela au vugogo wakaja kutuzidi kete...
 
kingine mashamba hayo siyo mbali sana kutoka barabara ya kuelekea lindi....alafu kutoka dar kwenda rufiji ni masaa mawili tu kama una gari lako
 
cha muhimu ni kufuata utaratibu wa kisheria
 
Mkuu wadau wa mashamba tunahitaji bei kwa
ekari moja .
 
Sorry wadau nlikuaaaa nje ya mji..bei kwa eka ni shilingi laki moja za kitanzania (100, 000) cash
 
Naomba namba yako ya simu
 
Serikali ya kijiji ina taarifa hizi? Au tumCC Lukuvi and team
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…