Bado hujaeleza cfa za gali lako mkuuu, waambie watu ukubwa wa injini, waambie sifa za ziada kama sportlim, redio, airbag, lkn pia picha hazitoshi , maana tunataka tuone mpaka ndani kama siti zimekwisha. Tuone mataili, kule carfrom japani tangazo moja la gali lina picha zaid ya 30 huku ueweka picha 3, steling ipo upande gan vileeee?