Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,008
- 3,528
PumbafuRais huyo wa Urusi anatarajiwa kukutana na mwenzake wa Uturiki Recep Tayyip Erdogan baadae wiki hii kujadili pendekezo la mazungumzo kati ya Ukraine na Urusi...
Ndugu mrengo wa kushoto kama wenye ni timu beberu lazima uhahe natuhabari twakuokoteza kama beberu mkuu na washirika wake 🥱Rais huyo wa Urusi anatarajiwa kukutana na mwenzake wa Uturiki Recep Tayyip Erdogan baadae wiki hii kujadili pendekezo la mazungumzo kati ya Ukraine na Urusi...
Hivi Urus anarusha hayo makombola hovyo hovyo ndani ya ardhi ya Ukrain au anataget vituo vya kijeshi? Kama ni hovyo hovyo kwakweli ni uhalifu wa kivita!Wewe upo dunia ipi??, Ukraine kachukua kipondo KIKALI cha mbwa mwizi katika miji yake mikuu ikiwemo KIEV leo asubuhi, Hii ni kulipiza kisasi kufuatia yeye (ukraine) kuvunja daraja linalounganisha Crimea. Russia ni mstaarabu kwani angaliweza kutupa hayo makombora usiku na kuua watu wengi sana.
Vita havina uharifu maana lengo la Vita huwa ni uhalifu na uharibifu kama hivi viwili havipo jua vita hamnaHivi Urus anarusha hayo makombola hovyo hovyo ndani ya ardhi ya Ukrain au anataget vituo vya kijeshi? Kama ni hovyo hovyo kwakweli ni uhalifu wa kivita!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hivi Urus anarusha hayo makombola hovyo hovyo ndani ya ardhi ya Ukrain au anataget vituo vya kijeshi? Kama ni hovyo hovyo kwakweli ni uhalifu wa kivita!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni kuonesha kwamba hata anaweza kumuua Zelensky kama akitaka, anaweza kumrushia bomu popote alipo.Russia mavi sana anaacha kushambulia mstar wa mbele anakopigwa anashambulia majengo kyiv hii mpya aisee
Hii si kweli.Kwamba Putin siku zote hizo ameamaua tu kwa makusudi asimuue Zelensiky au alishashindwa kumuua.Yani awe na uwezo wa kumuua mtu anayeona ni tatizo kwake tangu February na access ya kumuua anayo halafu amwache tu?Hiyo ni kuonesha kwamba hata anaweza kumuua Zelensky kama akitaka, anaweza kumrushia bomu popote alipo.
Sasa kijeshi ame-achieve nini zaidi ya kuua raia na kuharibu mali?Wewe upo dunia ipi??, Ukraine kachukua kipondo KIKALI cha mbwa mwizi katika miji yake mikuu ikiwemo KIEV leo asubuhi, Hii ni kulipiza kisasi kufuatia yeye (ukraine) kuvunja daraja linalounganisha Crimea. Russia ni mstaarabu kwani angaliweza kutupa hayo makombora usiku na kuua watu wengi sana.
Sasa kijeshi ame-achieve nini zaidi ya kuua raia na kuharibu mali?
Russia ni wajinga na hawana maarifa ya kivita waliotuaminisha wanayo.
Hakuna faida yoyote ya kummaliza Zelensky..ni kama kumtengeneza awe shujaa tu...Hii si kweli.Kwamba Putin siku zote hizo ameamaua tu kwa makusudi asimuue Zelensiky au alishashindwa kumuua.Yani awe na uwezo wa kumuua mtu anayeona ni tatizo kwake tangu February na access ya kumuua anayo halafu amwache tu?
Hata mimi ninashindwa kuelewa kabisa, super power wetu anatudharirisha. Kobaz tutaziweka wapi hiziii!!?????Kwani kinachoendelea si anashambulia kwa roketi? Nini kimetokea tena?
Hahaa we jamaa una vitukoHata mimi ninashindwa kuelewa kabisa, super power wetu anatudharirisha. Kobaz tutaziweka wapi hiziii!!?????