Walichemsha mbaya kuhusu wimbo huo wa Amore.
Pia majaji wa BSS walionyesha uchakachuaji. Wamemhujumu mzungu Joseph Payne kwa kumkandia na kumkatisha tamaa. Aibu kwao.
Master J aliwaita watanzamnia wanaomshabikia mzungu kuwa ETI ni WASHAMBA! Alitaka wapende anaowapenda yeye?